Monday, 17 June 2013

Mwanaume NIIIII ???

+++++ MWANAUME NI NINI ++++++????

 Mwanaume ni kuomba simu ya nguvu ndo aonyeshe dem ako na pesa

Mwanaume ni kumnunulia dem vitu expe na kula ugali na chai

Mwanaume ni Kubaki na dem m2 mbili kwa room na hamrarui

Mwanaume ni ku buy bamba 10 na kuiscratch na coin ya 40...

Mwanaume ni kusanya condom zote kwa dispenser na kuuzia majamaa nje ya lodging

Mwanaume ni kucreate account mbili kwa cyber halafu anaanza kujikatia

Mwanaume ni kupeleka dem date ili wakule chakula expensive alafu alikuwa amesota so amejiami na mende mbili na nzi moja kwa mfuko ya koti so akiwa karibu kumaliza anatupa mende ndani ya supu alafu anazusha na anapewa bonus meal anabeba watakula supper na dem

Mwanaume niiiiiii ??????


No comments:

Post a Comment